InspireFikra

Agness Gabriel

InspireFikra

A weekly podcast

Good podcast? Give it some love!
InspireFikra

Agness Gabriel

InspireFikra

Episodes
InspireFikra

Agness Gabriel

InspireFikra

A weekly podcast
Good podcast? Give it some love!
Rate Podcast

Episodes of InspireFikra

Mark All
Search Episodes...
Ukilichukulia kosa ulilofanya leo kama funzo unaondoa uwezekano wa kurudia tena kosa hilo hilo kesho. Lakini ni ngumu kufanya hivyo kama bado unaendelea kujihukumu kwa kutenda kosa, jisamehe, kisha jifunze.
Historia ya maisha ya mwanadamu inaundwa na orodha ya maamuzi anayoyafanya leo. Uamuzi (choice) ni nguvu ambayo mwanadamu pekee ameruhusiwa na muumba wake kuwa nayo. Kama unavyowajibika kufanya uamuzi vivyo hivyo unawajibika moja kwa moja na ma
Binadamu ana mipango na matarajio mengi sana, lakini wakati mwingine maisha humpeleka kwenye njia tofauti mbali na ile sehem aliyokua anatarajia kufika baada ya kipindi fulani. Je ulipo sasa ndipo ulipotarajia kuwa miaka mitano iliyopita? Kama
Karibu. Huu ni muhtasari wa mengi mazuri na yakuhamasisha ninayotarajia kukushirikisha kupitia Podcast hii. Tunaanza na NDOTO, maana kila jambo zuri na la kushangaza unaloliona hapa duniani limesababishwa na mtu mmoja aliethubutu kuota. Ilhali
Rate
Contact This Podcast

Join Podchaser to...

  • Rate podcasts and episodes
  • Follow podcasts and creators
  • Create podcast and episode lists
  • & much more

Unlock more with Podchaser Pro

  • Audience Insights
  • Contact Information
  • Demographics
  • Charts
  • Sponsor History
  • and More!
Pro Features